Kilimo ni shighuli ya mwanzo ya binaadamu.Kilimo kina umuhimu mkubwa sana kwa binaadamu kutokana na faida zifuatazo:
NB: KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LOLOTE DUNIANI HIVYO NINGEPENDA KUWASHAURI WATANZANIA KUWEKEZA KATIKA KILIMO KWANI WASHWAHILI WANASEMA "JEMBE HALIMTUPI MTU"
PICHA ZA KILIMO TANZANIA
- Humpatia binaadamu chakula.Binaadamu hawezi kufanya shughuli yoyote kama hana chakula cha kuweza kula iliapate nguvu zakuzalisha.Na chakula hiki hakiwezi kupatikana sehemu yoyote zaidi ya shambani.
- Humpatia binaadamu mali ghafi.Kwa mfano zao kama pamba linatumika kama malighafi ya kutengenezea nguo mbalimbali
- Humpatia binaadamu kipato kwa kuuza mazao ambayo ameyalima kutoka shambani kwake kwa kuuza katika masoko mbalimbali ndani na nje ya nchi.
- Huipatia serikali fedha za kigeni kwakuuza mazao mbalimbali katika soko la dunia.
NB: KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LOLOTE DUNIANI HIVYO NINGEPENDA KUWASHAURI WATANZANIA KUWEKEZA KATIKA KILIMO KWANI WASHWAHILI WANASEMA "JEMBE HALIMTUPI MTU"
PICHA ZA KILIMO TANZANIA
![]() |
| MAZAO YA MATUNDA MBALIMBALI |
![]() |
| ZAO LA NDIZO |
![]() |
| ZAO LA KAHAWA |
![]() |
| ZAO LA VIAZI NA KAROTI |
![]() |
| ZAO LA MAHINDI |
![]() |
| ZAO LA NYANYA |







No comments:
Post a Comment